The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri Ikulu Jijini Dar Es Salaam

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Dar es Salaam tarehe 24 Machi, 2024.
Baadhi ya Mawaziri wakipitia makabrasha na nyaraka mbalimbali wakati wa Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichoongozwa na Rais Samia Ikulu Jijini Dar.
Rais Samia akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Dar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Machi 24, 2024 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Dar es Salaam.

Leave A Reply