The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Dar – Picha

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Dar es Salaam tarehe 08 Machi, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Dar es Salaam Machi 8, 2024.

Leave A Reply