The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Arejea Nchini Akitokea Misri

0
Rais Samia, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo tarehe 12 Novemba 2021 akitokea nchini Misri baada ya kukamilisha ziara yake ya Kiserikali ya siku tatu kufuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo  Abdel Fattah Al Sisi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 11, 2021 amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo tarehe 12 Novemba 2021 akitokea nchini Misri baada ya kukamilisha ziara yake ya Kiserikali ya siku tatu kufuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Abdel Fattah Al Sisi.

Leave A Reply