The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Atengua Uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji

0
Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba.

Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo mnamo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji

Leave A Reply