The House of Favourite Newspapers

Rais Samia awapa miezi 3 Bure Magomeni

0

Wananchi waliokabidhiwa nyumba Magomeni Kota wamepewa miezi mitatu ya kupumzika kuchangia uendeshaji nyumba huku Rais akiwataka wakazi hao kutunza nyumba

Rais Samia Suluhu Hassan amesema hayo katika Uzinduzi wa Nyumba 644 za Makazi za Magomeni Kota, Jijini Dar es Salaam leo, tarehe 23 Machi, 2022.

Leave A Reply