The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Awasili Oman, Aanza Rasmi Ziara ya Siku Tatu Nchini Humo (Picha +Video)

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Mwenyeji wake Kiongozi Mkuu wa Taifa la Omani Sultan Haitham bin Tariq Al Said wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa katika mapokezi Rasmi yaliyofanyika kwenye viwanja vya Kasri ya Al Alam Muscat nchini Oman tarehe 12 Juni, 2022.
Kikosi cha Jeshi la Oman kikiwasili katika viwanja vya Kasri ya Al Alam kwa ajili ya Mapokezi Rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Muscat nchini Oman tarehe 12 Juni, 2022
Rais  Samia akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyeji wake Kiongozi Mkuu wa Taifa la Omani Sultan Oman Haitham bin Tariq Al Said kabla ya kuanza mazungumzo yaliyofanyika Kasri ya Al Alam Muscat nchini Oman tarehe 12 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, leo Juni 12, amewasili nchini Oman kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu.

 

Leave A Reply