The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Azindua Jengo La Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi Kunduchi – (Video +Picha)

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akishiriki katika uzinduzi na makabidhiano ya Mradi wa Awamu ya Pili ya ujenzi wa jengo la Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Novemba, 2021.
Rais Samia , akisaini kitabu cha kumbukumbu alipowasili katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Novemba, 2021. Kwa ajili ya kuzindua makabidhiano ya Mradi wa Awamu ya Pili ya ujenzi wa Jengo la Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC).

RAIS Samia Suluhu, leo Novemba 14, ameshuhudia makabidhiano na kuzindua jengo la chuo cha taifa cha ulinzi kilichopo Kunduchi jijini Dar. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply