The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Azindua Kiwanda Cha Nguo, Zanzibar leo (Picha +Video)

0
Rais Samia Suluhu Hassan, akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd kilichopo Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo tarehe 11 Januari, 2022.
Rais Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd kilichopo Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo tarehe 11 Januari, 2022.
Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Viwanda na Maendeleo ya Biashara Zanzibar Omar Said Shaban alipokua akitembelea Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd kilichopo Zanzibar baada ya kukifungua rasmi kiwanda hicho leo

Leo Januari 11, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anazindua kiwanda cha nguo cha BASRA TEXTILES MILLS LTD, Kilichopo CHUMBUNI-ZANZIBAR.

Leave A Reply