The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Azungumza katika Mkutano wa Biashara wa Sekta Binafsi Nchini Uganda

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan, akizungumza Jijini Kampala katika Mkutano wa Biashara wa Sekta Binafsi uliowahusisha Watendaji Wakuu CEOs wa Sekta hiyo kutoka Tanzania na Uganda tarehe 10 Mei, 2022.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan, leo Mei 10, 2022 amezungumza Jijini Kampala katika Mkutano wa Biashara wa Sekta Binafsi uliowahusisha Watendaji Wakuu CEOs wa Sekta hiyo kutoka Tanzania na Uganda.

Rais Samia Suluhu Hassan yupo nchini Uganda  kwa Ziara ya Kiserikali ya siku mbili .

Mawaziri pamoja na Wakuu wa Taasisi mbalimbali kutoka nchini Tanzania wakiwa katika Mkutano wa Biashara uliowahusisha Watendaji Wakuu CEOs wa Sekta Binafsi kutoka Tanzania na Uganda tarehe 10 Mei, 2022.

Leave A Reply