The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Azungumza na Rais wa benki ya Afrika

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Jumamosi, Novemba 13, 2021 amezungumza kwa njia ya mtandao na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (African Development Bank Group – AfDB) Dkt. Akinwumi A. Adesina, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Leave A Reply