The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Apokea Kifimbo Cha Malkia Ikulu, Dar -(Picha +Video)

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan  leo Novemba 13, 2021 amepokea Kifimbo cha Malkia Elizabeth wa Uingereza(Queens Button) Ikulu, Jijini Dar Es Salaam.

Kifimbo hiki kinaashiria maandalizi ya michezo ya Olimpiki.

Rais Samia, akipookea Kifimbo cha Malkia (Queen’s Baton Relay) kama ishara ya uzinduzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola, wakati kilipowasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 13 Novemba, 2021.

Leave A Reply