The House of Favourite Newspapers

Rais Samia na Viongozi CCM Wakutana Dodoma

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi leo wamehudhuria kikao cha kamati kuu ya chama hicho, kinachoendelea katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetion Center uliopo Dodoma.

Viongozi wengine wa juu waliohudhuria ni pamoja na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na viongozi wengine wa Chama cha Mapinduzi CCM.

 

Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula ndiye anayeongoza kikao hicho, ikiwa ni maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum unaotarajiwa kufanyika Ijumaa, April 30, 2021 jijini Dodoma.

Leave A Reply