The House of Favourite Newspapers

Rais Wa Zamani Wa Ivory Coast Henri Konan Bedie Afariki Akiwa Na Umri Wa Miaka 89

0
Rais wa zamani wa Ivory Coast Henri Konan Bedie.

Rais wa zamani wa Ivory Coast Henri Konan Bedie, mmoja wa wanasiasa wakongwe waliotawala siasa katika taifa hilo la Afrika magharibi, amefariki akiwa na umri wa miaka 89, ndugu yake wa karibu ameliambia shirika la habari la Reuters Jumanne.

Bedie alihudumu kama rais kuanzia mwaka 1993 hadi alipoondolewa madarakani mwaka 1999 na baadaye akagombea urais ambao alishindwa dhidi ya mpinzani wake wa muda mrefu Rais Alassane Ouattara katika uchaguzi wa 2020, alipokuwa na umri wa miaka 86.

KOCHA YANGA AMSUKA UPYA MRITHI wa MAYELE/ MASHABIKI SIMBA WAZIPIGA MKWARA TIMU za LIGI KUU..

 

CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰

Leave A Reply