The House of Favourite Newspapers

Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi Awasili Dodoma kwa Kikao cha Kamati Kuu CCM

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasili uwanja wa ndege Dodoma na kupokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka.

Rais Mwinyi anatarajiwa kushiriki Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ambacho kitaendeshwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan leo tarehe 22 Mei, 2022 Chamwino Dodoma

Leave A Reply