The House of Favourite Newspapers

RAIS WA ZIMBABWE AMTEUA JENERALI MWAMUNYANGE

RAIS Emmerson Mnagangwa wa Zimbabwe, amteua Mkuu wa Majeshi wa Tanzania Mstaafu, Jenerali Davis Mwamunyange katika Tume ya Kutathmini Athari za Ghasia zilizotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.

Katika tume hiyo yumo aliyewahi kuwa Rais wa Afrika Kusini (Septemba 2008 hadi Mei 2009), Kgalema Petrus Motlanthe pamoja na Waharidhiri na wanadiplomasia kutoka Nigeria na Uingereza.

Ghasia katika uchaguzi uliofanyika Julai 30 zilisababisha vifo vya watu 6 na kuwaacha wengine na majeraha.

MSIGWA, SUMAYE Walichokisema Kwenye Mazishi ya MAMA ‘SUGU’

Comments are closed.