The House of Favourite Newspapers

RAMMY GALLIS APATA SHAVU LA MAANA

Rammy Gallis

MWIGIZAJI wa kiume wa Bongo Movies, Rammy Gallis amepata heshima kubwa baada ya kupewa ubalozi wa Maduka ya City Mall na City Mall Cinema yaliyopo Mnazi-Mmoja jijini Dar.  

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Rammy alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa kupata nafasi hiyo kwani kwa upande wake inaweza kumtoa sehemu moja kwenda nyingine, jambo ambalo alikuwa akilitamani.Image result for City Mall na City Mall Cinema dar

“Ndoto yangu kubwa ilikuwa ni hiyo, lakini pia nafurahi filamu yangu niliyoigiza na marehemu Masogange (Agness Gerald) itaanza kuoneshwa kwenye ukumbi huo wa sinema wakati ninaizindua,” alisema Rammy.

Masaa 3 Lema Kuhojiwa POLISI Kuhusu MO Atoka na Kutema cheche

Comments are closed.