The House of Favourite Newspapers

Mke wa Waziri Mwakyembe Kuzikwa Kyela, Mbeya,

0
Lina Mwakyembe enzi za uhai wake.

Kwa mujibu wa msemaji wa familia, Solomon Kivuyo, marehemu Lina Mwakyembe, ambaye alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa Saratani ya Titi kwa muda mrefu, anatarajiwa kuzikwa Kyela, mkoani Mbeya, wiki ijayo, ambapo Jumatano ataagwa jijini Dar es salaam.

Maelezo Kamili ya Familia yamo katika video hii:

 

 

Leave A Reply