The House of Favourite Newspapers

RAYVANNY AKIUKA MAAGIZO YA BASATA, AIRUDISHA YOUTUBE ‘NYEGEZI MWANZA’

Baada ya Rayvanny kuiamriwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kuifuta video ya wimbo wake Mwanza katika mtandao wa YouTube kwa madai kuwa haina maadili, leo Novemba 16, 2018, Rayvanny ameirudisha tena video hiyo YouTube kupitia Channel yake.

 

Mpaka sasa hakuna tamko lolote kutoka Basata wala kwa Lebo ya WCB ambayo inammiliki msanii Rayvanny kuhusiana na video hiyo.

 

Video ya Mwanza mpaka wakati huu ni Trending namba Youtube huku ikiwa na watazamaji zaidi ya million 2.4 kwa muda wa siku tano.

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

Comments are closed.