The House of Favourite Newspapers

Rayvanny, Mac Voice Watambulisha EP Yao

0

MWANAMUZIKI wa kwanza kusainiwa na Lebo ya Next Level Music inayomilikiwa na Rayvanny aitwaye Mac Voice, kwa mara ya kwanza ametembelea studio za Global Radio kwa ajili ya kutambulisha rasmi EP yao mpya.

Sambamba na hilo, utapata kufahamu mengi tena kwa undani zaidi kuhusu safari ya maisha ya Mac Voice mpaka alivyojikuta mikononi mwa Rayvanny na kwenye lebo ya Next Level Music.

Fuatilia Live Global TV Online na Global Radio sasa.

Leave A Reply