The House of Favourite Newspapers

RC Makonda Atangaza Kiama Kwa Wakandarasi DSM “Nitachukua Hatua”

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ametoa onyo kwa wakandarasi wote wanaotekeleza miradi ya serikali mkoani kwake kuanza ujenzi wa miradi hiyo mara moja badala ya kupeleka tu vifaa saiti na kuvitelekeza..

Makonda amesema kama Mkandarasi ana changamoto za malipo afike ofisini kwake ili aweze kuzitatua..

Comments are closed.