The House of Favourite Newspapers

RC MAKONDA: Kama Unamjua Shoga Yeyote Nipigie Simu – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, jana Jumatatu, Oktoba 29, alisema kuwa kuanzia sasa anapokea taarifa yoyote na majina ya watu wanaofanya vitendo viouvu kinyume na maadili ya Kitanzania ikiwemo mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume (ushoga) na wanaojiuza mtandaoni.

 

Akizungumzia kuhusu msanii Amber Rutty ambaye hivi karibuni picha zake za utupu zimevunja mtandaoni na mpenzi wake, RC Makonda amesemawatuhumiwa hao wapo chini ya ulinzi wa Polisi.

VIDEO: MSIKIE MAKONDA AKIFUNGUKA

Comments are closed.