The House of Favourite Newspapers

Red Carpet ya Usiku wa Mastaa Maisha Basement

usiku-wa-mastaa-basement-2

Gigy Money katika pozi. 

usiku-wa-mastaa-basement-4

Lulu Diva.  usiku-wa-mastaa-basement-8 usiku-wa-mastaa-basement-7

Wasanii wa Kundi la Solid Ground Family.  usiku-wa-mastaa-basement-5

usiku-wa-mastaa-basement-3

Duma katika pozi na mrembo.

usiku-wa-mastaa-basement-6

usiku-wa-mastaa-basement-10

Duma.

Mastaa mbalimbali wa Bongo usiku wa kuamkia jana walimiminika kwa wingi katika Ukumbi wa Maisha Basement uliopo Kijitonyama, Dar es Salaam katika Usiku wa Mastaa uliokwenda sambamba na burudani kadhaa kutoka kwa wasanii wa Hip hop na Bongo Fleva.

Mastaa hao ‘walishow love’ na mashabiki wao waliofika ili kujumuika nao ikiwa ni pamoja na kupata nao selfie kadhaa.

Mastaa waliohudhuria usiku huo ni pamoja na wasanii Christian Bella, Bob Junior, Chid Benz, Pam D, Mesen Selekta,  Country Boy, Galatone, Chemical, Haitham, Solid Ground Family sambamba na video vixen wakiongozwa na Lulu Diva, Gigy Money, Kibonge Sexy, Kidoa, Azama, Jojo pamoja na mastaa wa Bongo Muvi akiwemo Duma na wengine wengi walioupamba vilivyo usiku wa mastaa.

Comments are closed.