The House of Favourite Newspapers

Rosa Ree: Mapenzi Kwangu Hapana, Nawaza Pesa (Video)

0


Miongoni mwa Rappers wa kike wanaofanya vizuri Bongo ni, Rosa Ree, ambaye hivi karibuni ameanza kufanya kazi kama Solo Artist baada ya kujiengua mikononi mwa Record Label ya The Industry inayomilikiwa na Wanamuzuiki Aika na Nahreel.

Rosa Ree amefungukia ishu ya kujiondoa The Industry kwa kusema kwamba Mkataba Wake Umeisha Ndiyo maana akaondoka ila hana matatizo na Aika wala Nahreel, ikitokea wakimhitaji tena kwa ajili ya kuendeleza mkataba basi yuko tayari.

Rosa Ree kwa Sasa anatamba na ngoma yake mpya inayoitwa ‘Dow’ akimaanisha mkwanja.

Leave A Reply