The House of Favourite Newspapers

ROSE KAMILI: Waziri Kosa ni Lako, Umeshindwa Kutekeleza – VIDEO

Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema, Rose Kamili, akichangia hoja katika bajeti ya wizara ya Maji na Umwagiliaji, iliyowasilishwa Bungeni na Waziri mwenye Dhamana, Mhandisi Isaac Kamwelwe na Naibu Waziri wake Jumaa Aweso.

Comments are closed.