The House of Favourite Newspapers

Ruby apagawisha mashabiki Maisha Basement

0

1Ruby akifanya makamuzi yake mbele ya maelfu ya mashabiki wake waliokuwa wamejitokeza ndani ya Ukumbi wa Maisha Basement.

2Ruby akiwajibika.

3Mashabiki wakifuatilia kwa makini shoo hiyo.

4Baadhi ya mashabiki wakicheza.

5…Wakiwa na zawadi zao muda mfupi baada ya kupewa na uongozi wa Maisha Basement Club.

6Ruby akipagawisha.

7Mashabiki wakicheza kwa hisia kali.

8…Wakiendelea kujimwaya.

USIKU wa kuamkia leo ulikuwa wa aina yake kwa msanii wa Bongo, Fleva Ruby, alipojumuika na mashabiki zake ndani ya Ukumbi wa Maisha Basement Makumbusho jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kusherehekea kwa pamoja Siku ya Wapendanao yaani Valentine’s Day.

(Habari/Picha:Musa Mateja/GPL)

Leave A Reply