The House of Favourite Newspapers

Usiku wa ‘Love Potion Night’ wa Belle 9 ulivyofana

0

IMG_9723

Msanii Mkongwe wa muziki wa R&B Belle 9 akikonga nyoyo za mashabiki kwenye shoo ya usiku wa ‘Love Potion Night’ iliyofanyika kwenye Ukumbi wa ‘ Sky Night Life’ Masaki jijini Dar es Salaam(kushoto) ni  Jux.

IMG_9561

Msanii Bela Kombo akifanya yake.

IMG_9509

Jux akiwarusha mashabiki waliofurika kwenye shoo hiyo.

IMG_9608

Belle 9 akizidi kunogesha kwenye onyesho hilo.

IMG_9653

Staa wa filamu Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiteta jambo na Muna.

IMG_9545

IMG_9582
IMG_9751

Shamsa Ford akifanya yake.

IMG_9544 IMG_9540
IMG_9501

Mastaa kibao walikuwepo kwenye shoo hiyo.

(Picha:Mussa Mateja\GPL)

Leave A Reply