The House of Favourite Newspapers

Sabasaba Kumekucha, Wananchi Waanza Kumiminika

0
Baadhi ya wananchi wakiingia katika lango kuu la Viwanja Vya Sabasaba katika maonesho yanayoendelea jijini Dar es Salaam leo Julai 7, 2021.
Umati wa wananchi ambao wameshafika Viwanja Vya Sabasaba katika maonesho yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
…Wakiendelea kuingia.

Ikiwa leo ni Maadhimisho ya sabasaba mapema leo wananchi wameanza kufurika katika maonesho ya 45 yaBiashara yaKimataifa yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.

Picha na Nicolaus GPL Sabasaba

Leave A Reply