The House of Favourite Newspapers

Kubenea Aibuka na Ufisadi wa Meremeta Bungeni – Video

MBUNGE wa Ubungo Said Kubenea amesema kuwa Ripoti ya Kamati ya Nishati na Madini kuna sehemu imeonyesha tatizo katika Shirika la kusimamia Madini (Stamico) kutokana na kukabidhiwa jukumu kubwa huku ikiwa haina mtaji.

 

Kubenea amesema nchi imekua kichaka cha kupora madini kutokana na kutotoa mtaji katika Shirika la kusimamia madini Stamico.

 

Comments are closed.