The House of Favourite Newspapers

Mchakato Wa Kuiunganisha Twiga Cement Na Tanga Cement Wazidi Kukutana Na Vikwazo

0

Mchakato wa kuungana wa kampuni mbili za cement (saruji) bado waendelea kukutana na vikwazo, Kampuni hizo, Tanga Cement inayomilikiwa kwa asilimia kubwa na kampuni ya Afrisam kutoka Afrika kusini inayoazimia kuungana na Kampuni maarufu ya Scanscem International DA(Twiga Cement) inayomilikiwa na kampuni mama ya Heilberg group kutoka Ujerumani.

Vikwazo hivi vimendelea ni baada ya jaji anayesimama kama mwenyekiti wa baraza la  ushindani kutoa uamuzi kwa mara nyingine tena ya  ya kwamba muungano huo ni batili na uko kinyume na sheria za nchi.

Katika hukumu yake ya pili kuhusiana na jambo hilo, Jaji wa mahakama kuu, Jaji Fatima Maghimbi akisimama kama mwenyekiti wa Baraza la Ushindani ametoa uamuzi kwamba mchakato wa kuziunganisha kampuni hizo tena uliofunguliwa upya na tume ya ushindani baada ya kubatilishwa na baraza la ushindani ulikuwa kinyume na sheria kwakuwa baada ya hukumu ya baraza iliyobatilisha muungano huo, Tume ya ushindani haikuwa na mamlaka tena juu ya mchakatohuo.

Katika kesi ya rufaa mbele ya Baraza Namba 1 ya mwaka 2023, Kampuni ya kitanzania ijulikanayo kama Chalinze Cement, ilileta pingamizi juu ya mchakato wa muungano kati ya Twiga Cement na Tanga Cement, ikiambatanisha mapingamizi kumi na moja ya kisheria dhidi ya muungano huo mbele ya Baraza la Ushindani linalokaliwa na Mwenyekiti ambaye ni Jaji wa mahakama kuu na wajumbe wawili wa baraza hilo.

“Maamuzi ya FCC (Tume ya Ushindani) kuruhusukwa mara ya pili mchakato huo wa muungano kati ya Tanga Cement na Twiga Cement baada ya mchakatowa kwanza wa kuungana kati ya kampuni hizo mbili za cement (saruji) kubatilishwa na maamuzi ya kimahakama yaliotolewa na baraza la ushindani, yalikuwa maamuzi yaliyo kinyume na sheria za nchi. Kampuni hizo mbili  zilitakiwa ziombe baraza hili kufanya mrejeo wa maamuzi yake na sio kuanzisha upya mchakato uleule haramu ulioshabatilishwa na maamuzi ya kimahakama ya baraza hili”, alisema Jaji Fatma Maghimbi

Watoa maamuzi wengine wawili walioketi pamoja na mheshimiwa Jaji, kama wajumbe wa baraza la ushindani mbele ya baraza hilo,walitoa uamuzi wa kulitupa nje shauri hilo la rufani kwasababu mleta shauri hilo kampuni ya Chalinze Cement Company ilifutiwa usaili wake na Brela hivyo haitambuliki kama kampuni hai kisheria, jambo linalolitolea kampuni hiyo haki ya kuleta na kuendesha shauri mahakamani au mbele ya baraza la ushindani.

Ila Mheshimiwa Jaji, kwa ubobezi wake wa kisheriana kwa kuzingatia maamuzi ya nyuma ya kimahakama, japokuwa alikubali kwamba kampuni ya Chalinze Cement Company ilifutiwa usaili wake na Brela hivyo haitambuliki kama kampuni hai kisheria, jambo linalolitolea kampuni hiyo haki ya kuleta na kuendesha shauri mahakamani au mbele ya baraza la ushindani ila aliona kwa madhumuni ya kuona sheria hazivunjwi na haki ikitendeka alitoa maamuzi yaliozingatia zaidi mapingimizi ya kisheria yenye tija ambayo tayari yapo mbele ya baraza la ushindani bila kujali yamefikaje.

Kwakuwa Mwenyekiti wa Baraza la Ushindani, mheshimiwa Jaji ameamua kutoa maamuzi na wajumbe wake, hii inaonesha bado kuna vizingiti vikubwa vitavyopelekea ugumu katika ufanikishaji wa mchakato huo wa muungano wa kibiashara uliozuwa maswali mengi nchini. Pia Uamuzi wa Jaji huyo unashabaiana na tamko la wakili mkuu wa serikali aliyekubali usahihi wa mapingamizi matatu yaliyomo kwenye shauri hilo. KwakuwamsimamohuuwaWakilimkuuwaserikaliunachukuliwakamandiomsimamowaSerikalibasi pia ndiomsimamowaMwanasheriamkuuwaserikaliambayendiyemshaurimkuuwaserikalikwenyemasualayote ya kisherianchini.

Kwakuwamchakatohuowamuunganokati ya kampunihizombili,unatakiwaupitiwe,kujadiliwanakutolewauamuzinatasissikadhaazaSerikaliambazokikawaidazinategemeaushauriwakisheriakutokakatikaOfisizaMwanasheriamkuuwaserikalinaOfisizawakilimkuuwaserikalikufanyamaamuzi,ningumu kwa ofisihizimbilikutoaushauri kwa hizitasisizaserikalikupitishaamakuruhusumuunganokati ya kampunihizoza cement ambaoJajiwaMahakamakuupamojanaWakilimkuuwaserikali kwa pamojawamekubalianakwambamchakatohuonibatilinaumeendeshwanatume ya Ushindanikinyumenasheriazanchi.

Maamuzi ya JajiMaghimbi, nipigojinginekatikamchakatowakampunihizombiliza cement zinazoazimiakuungana, mchakatoambaoumeanzatokamwaka 2017 bilamafanikio. Afrisaminamilikiasilimia 68 zaTanga Cement ambazoilitakaiziamishe kwa njia ya mauzokwendakampuni ya Scanscem International DA, inayomiolikiwanaKampuni ya kimataifa ya Heidelberg Group, kwa gharama ya shilling billion 137 (Dolazakimarekanimilioni 55).

Baada ya maamuzi ya JajiMaghimbikutolewa, Imani Muhongoambayenimkuuwakitengo cha utafitinauchambuziwamasuala ya fedha cha Kampuni ya ALPHA CAPITALalikaririwanagazeti la serikali la DAILY NEWS akisema,”KUNAUWEZEKANO MKUBWA, MCHAKATO WA MUUNGANO KATI YA KAMPUNI HIZO MBILI KUTOFANIKIWA”

Kwa upandewa pili, Mwenyekitiwabodi ya Tanga Cement, Bwana Lawrence Masha alitoakauli kwa Vyombovyahabari,akisema “Heildeberg CementnaAfrisambadowanaangalianamnaambazomchakatowaokuunganautafanikiwajapokuwaUamuziwaBarazaUshindaniumeanyamchakatohuokuwamgumuzaidikufanikiwa”

HISTORIA YA MCHAKATO WA MUUNGANO KATI YA YA TWIGA CEMENT NA TANGA CEMENT.

Mnamotarehe 6 mweziwannemwaka 2022, FCC (Tume ya Ushindani) ilitoaruhusakwa maombi ya kuunganakibiashara (merger) kati ya kampuni ya Scancem (MaarufukamaTwiga Cement) naTanga Cement, baada ya maamuzihayokampuni ya Chalinze Cement ililikatarufanidhidi ya maamuzihayombele ya Baraza la UshindaniambapomnamomweziSeptemba ,mwaka 2022 Barazahilolilibatilishanakufutamaamuzi ya Tume ya Ushindani ya kuruhusumuunganohuotajwa.

“Kwa kuzingatiakifungu cha11(1) cha Sheria ya Ushindani ya mwaka 2003, baadakuuwekakandonakuufutiliambaliuamuziwatume ya ushindani (FCC), Barazahililinatoakatazo la kisheriajuu ya muunganokati yaScancem International DA naTanga Cement,” iliamuaBaraza la Ushindani (FCT).

Kwenyeshaurihilorufani, wakatarufani (Chalinze Cement), waliwekapingamizikwambaMuunganokati ya kampunihizombilikubwaza Cement (Saruji) Tanzania, utavunjaSheria ya UShindani (The Fair Competition Act,2003) ambayoimewekakatazo cha ubiawowoteusizidikiwango cha juu cha asilimia 35 ya hisa ya sokoilikuhakikishaushindaniwahaki. Ilamuunganokati ya kati ya kampuni ya Scancem(MaarufukamaTwiga Cement) naTanga Cement. UtaipaTwiga Cement asilima 47.26% ya hias ya sokoambachonikikubwazaidinamatakwa ya shaeri ya Ushindani ya mwaka 2003.

Suala la mchakatohuu pia ulijadiliwaBungeni, ambapoMbungewaSingidamagharibiBwnaElibarikiKingualiionyaserikalikwambaUbiahuuutaifanyaKampuni ya Scanscem International DA kumilikihisa ya sokokubwaambazoitaifanyakutawalasokonakuwananguvu ya kupanganakuamurumuelekeowabei ya cement kwenyesokojamboambalo pia mkatarufani (Chalinze Cement Company) alilihainishakamamojawapo ya mapingamiziyakembele ya Baraza la Ushindani.

Serikalikupitia Waziri waFedha, MwiguluNchembawameteteamuunganokati ya kati ya kampuni ya Scancem (MaarufukamaTwiga Cement) naTangaCement,akisemamuunganohuoutaifanyaKampuni ya Tana Cement kuongezauzalishajiwasarujina pia itaokoaajirazawalioajiriwandani ya kampunihiyo ya Tanga Cement.

 

Leave A Reply