The House of Favourite Newspapers

SAMATTA APANGIWA LIVERPOOL UEFA

MSHAMBULIAJI Mtanzania, Mbwana Samatta anayechezea Genk atakuwa na nafasi ya kucheza dhidi ya Liverpool ya England katika Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ratiba ya michuano hiyo kupangwa jana jioni kwa msimu wa 2019/20.

 

Katika tukio hilo la upangwaji makundi pia kulitolewa tuzo za michuano hiyo kutokana na ligi ya msimu uliopita. Tuzo zilikuwa hivi: Kipa Bora ni Alisson wa Liverpool, Beki Bora ni Virgil van Dijk (Liverpool), Kiungo Bora ni Frenkie de Jong (Barcelona), Mshambuliaji Bora ni Lionel Messi (Barcelona) na Mchezaji Bora wa Ulaya ni Virgil van Dijk.

MAGAZETI AUG 30: NDEGE ILIYOSHIKILIWA AFRIKA KUSINI, KESI KUANZA KUUNGURUMA

Comments are closed.