The House of Favourite Newspapers

Sanchi apigwa stop nguo za kubana

0

D AKTARI wa mwanamitindo mwenye umbo matata Bongo, Jane Rimoy ‘ Sanchi’ amempiga stop mrembo huyo kuvaa nguo za kubana kwa kipindi hiki ambacho amepandikiza mbegu kwa ajili ya kupata watoto mapacha.  Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Sanchi alisema kuwa amepewa sharti hilo na daktari wake kwa tahadhari kuwa uvaaji huo unaweza kumsababishia kukosa watoto hao.

“Nimeamua kubadilika na kufuata masharti niliyopewa na daktari kwa sababu nina hamu na watoto mapacha,” alisema Sanchi

STORI: IMELDA MTEMA

Leave A Reply