The House of Favourite Newspapers

Serikali Kwa Kushirikiana Na Vodacom Zaiunganisha Hospitali ya Rufaa Mbeya Na M-Mama

0
Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya, Dkt. Mashaka Juma (kulia) akimpatia maelezo Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa, Bw. Ernest Hinju (katikati)pamoja naAfisa Mkuu wa TEHAMA kutoka Wizara ya Afya, Jackson Shayo(kushoto), kuhusu namna kituo cha mawasiliano cha mfumo wa m-mamakitakavyorahisisha upatikanaji wa usafiri wa dharura ili kuokoa maisha ya wajawazito na Watoto wachanga. Uzinduzi wa huduma ya m-mama ulifanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya ikiwa ni ushirikiano wa serikali ya Tanzania, Vodacom Tanzania Foundation, Pathfinder, Touch Foundation na USAID.
Afisa Mkuu wa TEHAMA kutoka Wizara ya Afya, Jackson Shayo akitoa maelezo kwa Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa, Bw. Ernest Hinju, kuhusu namna kituo cha mawasiliano cha mfumo wa m-mama kitakavyorahisisha upatikanaji wa usafiri wa dharura ili kuokoa maisha ya kina mama wajawazito na Watoto wachanga. Uzinduzi wa huduma ya m-mama ulifanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya ikiwa ni ushirikiano wa serikali ya Tanzania, Vodacom Tanzania Foundation, Pathfinder, Touch Foundation na USAID.                                                                                                                                      
Meneja wa m-mama kutoka taasisi ya Vodafone Foundation, Rahma Bajun akielezea kuhusu namna kituo cha mawasiliano cha mfumo wa m-mama kitakavyorahisisha upatikanaji wa usafiri wa dharura kuokoa maisha ya kina mama wajawazito na Watoto wachanga kwa Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya, Dkt. Darama Paschal (kushoto), Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa, Bw. Ernest Hinju (katikati), na Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dkt. Mashaka Juma (kulia). Uzinduzi wa huduma ya m-mama ulifanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya ikiwa ni ushirikiano wa serikali ya Tanzania, Vodacom Tanzania Foundation Pathfinder, Touch Foundation na USAID.                                                                                                                                           
Leave A Reply