The House of Favourite Newspapers

Shamsa Atamani Kumfuata Mzee Yusuf

0
Staa wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford.

STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa, anatamani kumfuata aliyekuwa staa wa Taarab, Mzee Yusuf kwa kuokoka kwani anahisi siku za kufa zimekaribia.

 

Akizungumza na Risasi Jumamosi, Shamsa alisema kuwa, kila kukicha anajikuta anatamani kuokoka na kuacha kila kitu anachokifanya, abaki kusali tu kwani ana hofu sana ya Mungu, lakini hajui ataanzaje, ingawa anajitahidi. “Nimejaribu kusali sala tano kila siku.

 

Kuna wakati ninasahau lakini kuna siku ninasali zote, ninaamini taratibu nitakuwa kama Mzee Yusuf, ninamuomba sana Mungu,” alisema Shamsa.

STORI: HAMIDA HASSAN, RISASI JUMAMOSI

SIMULIZI YA MAJONZI; MSANII WA BONGO MUVI, ABAKWA DAR, AUZWA KINGONO NCHINI INDIA

Leave A Reply