×

Risasi


Masogange Sasa Chunga Sana Nyendo Zako!

KWAKO mrembo uliyechipukia kwenye kilinge cha u-video queen, Agness Gerald almaarufu Masogange. Mambo vipi? Habari za siku? Kitambo kidogo sijakutia machoni. Maisha haya nayo yanatufanya…

SOMA ZAIDIVyakula vya Kukufanya Usizeeke

LEO kwenye safu hii nitakuletea vyakula ambavyo ukila vitakufanya usizeeke kwani siku hizi watu wanazeeka haraka licha ya kuwa na umri mdogo. Kama unataka kusafisha…

SOMA ZAIDI
MWANA: NGUO ZA HESHIMA NDO’ KILA KITU

MWANA-DASHOSTI wa Bongo Movies, Mwanaheri Ahmed ‘Mwana’ amefunguka kuwa kitendo cha Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza kupiga marufuku mastaa wa…

SOMA ZAIDI


Esma Aonyesha Mahaba Yake Kwa Wema

MWANADADA Esma Abdul ‘Esma Platnumz’ ameonesha mahaba yake kwa staa mkubwa wa filamu Bongo, Wema Sepetu akidai kuwa, amekuwa shosti wake kwa muda mrefu na…

SOMA ZAIDI


Sherehe ya Shilole Yasengenywa

  LICHA ya mbwembwe nyingi kwenye sherehe ya harusi ya Mwanamuziki Zuwena Mohamed ‘Shilole’ iliyofanyika wikiendi iliyopita kwenye Ukumbi wa Hekima Garden, Mikocheni ambapo alimwagiwa…

SOMA ZAIDI