The House of Favourite Newspapers

Shangwe la Zuchu: Khadija Kopa Afanya Maajabu Dar Live – Video

0

Malkia wa mipasho nchini Tanzania, Khadija Omary Kopa na kundi lake la Ogopa Kopa amefanya Bonge la Shoo katika Jukwaa la Uwanja wa taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala Zakhiem, jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo, Jumamosi, Mei 15, 2021.

 

Kopa na timu yake wamepanda stejini majira ya saa 6:30 usiku wakati wa shoo hiyo iliyopewa jina la Shangwe za Eid ambapo mwanaye, Zuchu atakiwasha jukwaani hapo.

 

Endelea kufuatilia Global TV Online kushuhudia shoo hiyo baab kubwa.

 

Leave A Reply