The House of Favourite Newspapers

Shigongo Afichua Madudu Ya Kutisha Ofisi Ya Mwigulu -”Wanaiba Fedha, Watakuingiza Kwenye Matatizo” – Video

0

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema Taifa hili kila mtu anataka kuiba na wengi wao ni wasomi wanatumia kalamu kama silaha ya maangamizi.

Aidha Mbunge Shigongo amemshauri Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba wizarani kwake kuna bomu nay eye kama Waziri mwenye dhamana anapaswa kulitegua kabla halijalipuka wizarani kwake.

Shigongo ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma hapo jana, wakati akichangia kuhusu mpango wa maendeleo ya taifa, uliowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Kitila Mkumbo kwa ajili ya majadiliano.

Leave A Reply