The House of Favourite Newspapers

SHILAWADU Walivyotibua Harusi ya Shilole – Video

Soudy Brown baada kuvamia steji.

KUFUATIA sherehe ya harusi ya msanii wa muziki Biongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ na Ashraf Uchebe iliyofanyika Hekima Garden, Mikocheni jijini Dar, Mtangazaji wa Kipindi cha Shilawadu cha Clouds TV, Soudy Brown aliyekuwa miongoni mwa waliofika katika hafla hiyo, kama kawaida yake hakuacha kutia mbwembwe zake kwa maharusi huku akiwaacha waalikwa wakiangua vicheko kila alipozungumza.

…Akitoa neno kwa Shilole.

Katika sherehe hiyo iliyofurika wasanii mbalimbali wa Bongo Fleva na Bongo Movies, Soudy alitamba kumnunulia suti bwana harusi (Uchebe) huku akiahipi pia kupeleka ubuyu kwa wanandoa hao kila siku kwa muda wa mwaka mmoja huku akieleza kuwa ubuyu huo hukuza vibamia kuwa bilinganya jambo ambalo kila mtu alilipokea kwa hisia tofauti ukumbini hapo.

PICHA NA MUSA MATEJA | GLOBAL TV

TAZAMA VIDEO YA TUKIO HILO

Comments are closed.