Msomaji wa Magazeti ya Global Publishers na mkazi wa Vikindu, Pwani akikusanya kuponi yake ya Shinda Nyumba baada ya kuikata na kuijaza.
Mr. Championi akikabidhi zawadi kwa msomaji wa Gazeti la Championi.
Msomaji akikusanya kuponi yake baada ya kuijaza.
Mr. Championi akiwa na msomaji wa Gazeti la Championi.
Mr. Championi (katikati) akiwa na msomaji wa Magazeti ya Global Publishers na dereva wa Kampuni hiyo, Kefa Masaga.
Kefa akimuelekeza msomaji namna ya kujaza kuponi.
Ofisa Usambazaji wa Global Publishers, Jimmy Haroub akiwaelekeza wasomaji namna ya kushiriki Shindano kabambe la Shinda Nyumba.
Kefa akitoa maelekezo kwa wasomaji.Kila mmoja na Kuponi yake ya Shinda Nyumba mkononi.
Wasomnaji wakichangamkia magazeti ya Ijumaa Wikienda pamoja na Championi Jumatatu.
Kefa akiwasaidia wasomaji kuuaza kuponi za Shinda Nyumba.
Msomaji akijaza kuponi.
PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL
Comments are closed.