The House of Favourite Newspapers

Shiriki kuboresha Gazeti la Ijumaa

0

IJUMAAMhariti wa Gazeti la Ijumaa, Amrani Kaima.

Gazeti la Ijumaa ni gazeti bora pendwa Bongo!Hakuna anayebisha katika hilo. Ndani ya Gazeti hilo unapata habari na makala za mastaa, makala za mapenzi, afya, saikolojia, katuni, vichekesho na mambo mengine.

Pia ndani ya gazeti hilo unapata machombezo, simulizi kali na hadithi za kusisimua za watunzi mahiri.
Hata hivyo, kuelekea mwaka 2016 tumedhamiria kuwaletea kilicho bora zaidi kwa kuliboresha gazeti hili. Wewe mdau wetu ungependa tuingize nini na tutoe nini?

Wasiliana nami mhariri wa gazeti hilo kwa namba 0658-798787.

Leave A Reply