The House of Favourite Newspapers

Shuhudia picha 17 meli kubwa duniani kwa sasa

0

ship-000 17M_NEWS Harmony Of The Sea Cruise Ship FINISHED 2 ship-1 ship-2 ship-3 ship-4 (1) ship-4 ship-6 ship-7 ship-8 ship-9 ship-10 ship-11 ship-12 ship-17 ship-18 ship-19 ship-20 ship-22

Pichani juu ni taswira za meli hiyo kubwa kuliko zote duniani.

KAMA ulishawahi kuonana na meli kubwa duniani kisha ukalidhika kwamba hakuna nyingine kubwa zaidi ya ulizoziona. Utakuwa unajidanganya!

Meli ya 25 inayomilikiwa na Kampuni ya Royal Caribbean International fleet inasemekana ndiyo meli kubwa kuwahi kutokea duniani kwa sasa kuliko meli zote. Watengenezaji wa meli hii waliyoiita Harmony of the Sea wanasema imechukua miezi 32 kuijenga.

Watengenezaji wa meli wamesema hii ndio meli kubwa zaidi duniani itakayokuwa ikibeba abiria. Meli hii imepewa jina la Harmony of the Seas. Inawafanya kazi 3,000,inauwezo wa kuchukua abiria 6780,  kwa wiki kutembea na hii meli ni £900 kwa mtu mmoja, ila kwenye eneo la bata ni £2,760 kwa mtu mmoja.

CREDIT: Andrew Carlos/Global

 

Leave A Reply