Shule ya Sekondari Old Tanga Yaungua kwa Moto

Shule ya Sekondari Old Tanga imeungua kwa moto ulioanza leo mchana Jumatano Sept. 18, 2019.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Edward Bukombe amesema chanzo cha moto huo ulioteketeza chumba cha mikutano na cha kuhifadhi vifaa bado hakijafahamika.

Kikosi cha Zimamoto kimefika eneo la tukio kuuzima moto huo.


Loading...

Toa comment