The House of Favourite Newspapers

Shusho Afunguka Kumshauri Harmonize Uhusiano wa Kimapenzi na Kajala – Video

0

Mtumishi wa Mungu na mwimbaji mahiri wa muziki wa injili, Christina Shusho amesema staa wa Bongo Fleva, Harmonize ni kijana mwenye adabu, anayemheshimu na kumshauri mambo mbalimbali, yakiwemo mambo yake binafsi.

Amesema miongoni mwa mambo aliyowahi kumshauri, ni uhusiano wake wa kimapenzi na Kajala.

Leave A Reply