The House of Favourite Newspapers

SikuYa Mtoto Duniani NMB Yatoa Salamu

#KwaKilaMtoto, Kila haki inatimizwa!

 

KATIKA kuadhimisha #SikuYaMtoto Duniani, Benki ya NMB Makao Makuu iliwasha taa za bluu kuunga mkono Shirika la uniceftanzania katika maadhimisho ya kumbukizi ya miaka 30 ya Mkataba juu ya Haki za Mtoto.

 

Ni wakati wa kuwaunga mkono na kuwawezesha watoto na vijana ambao wanasimamia na kudai haki zao kote Ulimwenguni ni sasa.

Comments are closed.