The House of Favourite Newspapers

Simanzi: Mwili wa RAS Kwitega Waagwa Arusha – Video

0

MWILI wa aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa (RAS) wa Arusha, marehemu Richard Kwitega, umeagwa jana Feb 5, 2021, katika viwanja vya Shekh Amri Abed jijini Arusha jana na wakazi wa jiji hilo sambamba na viongozi wa Serikali, vyama na dini kabla ya kusafirishwa kwenda nyumbani kwao Sengerema mkoani Mwanza kwa maziko.

 

Kwitega alifariki katika ajali ya gari iliyotokea Jumatano, Februari 3, 2021 wakati akitoka mkoani humo kwenda Dodoma baada ya gari alilokuwa amepanda kugongana na basi eneo la Mdori Mizani, -Babati Mkoa wa Manyara.

Leave A Reply