The House of Favourite Newspapers

Simanzi! Wananchi Wafurika Mbeya Mazishi ya Mama wa Sugu – Pichaz

Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ (Chadema)  akiwa pamoja na wadogo zake wakiomboleza msiba wa mama yao, Bi. desderia Mbilinyi, leo Agosti 29, 2018 nyumbani kwao Sae ‘Kwa Mbilinyi’ Jijini Mbeya.

 

Mbunge wa Tunduma Mhe. Frank Mwakajoka akimpa pole Sugu kufuatia msiba wa Mama yake, Bi. Desderia Mbilinyi.

 

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Manyara Mhe. Anna Gidarya akitia saini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mama Desderia Mbilinyi.

 

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya Mhe. Sophia Mwakagenda akitia saini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mama Desderia Mbilinyi.

 

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Simiyu Mhe. Gimbi D. Masaba akitia saini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mama Desderia Mbilinyi.

 

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa Mhe. Aida Khenan akitia saini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mama Desderia Mbilinyi.

 

Mbunge wa Mbozi Mhe. Pascal Haonga akitia saini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mama Desderia Mbilinyi.

 

Mbunge wa Mikumi Mhe. Joseph Haule ‘Prof. Jay’ akimpa pole Sugu kufuatia msiba wa Mama yake.

 

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe (KUB) akiwa na Viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA wakiwasili katika shughuli ya mazishi ya Mama Desderia Mbilinyi.

 

Mbowe akiwa na Katibu Mkuu, Dkt. Vincent Mashinji, Naibu Katibu Salum Mwalim, Mhe. Peter Msigwa, Meya wa DSM, Charles Mwita, Meya Jiji la Mbeya David, Mwashilindi katika shughuli ya mazishi ya Mama Desderia Mbilinyi.
Mbowe akisaini kitabu cha maombolezo.
Dkt. Mashinji akisaini kitabu cha maombolezo.
Mbunge Mhe. Godbless Lema, M’kiti wa Kanda Nyasa Mhe. Peter Msigwa (MB) na Meya wa DSM Charles Mwita wakiwa katika shughuli ya mazishi ya Mama Desderia Mbilinyi.

Wananchi wa jiji la Mbeya na nje ya mkoa huo wamefurika nyumbani kwa marehemu mama mzazi wa Sugu.

Comments are closed.