The House of Favourite Newspapers

Simba Kudizaini Nguo Aina Ya Jeans

0

Wengine hua tunavaa Ma-jeans yaliyo na vijishimo kadhaa kadili siku zinavozidi kwenda baadae zimekuja kudizainiwa kwa kukatwa kwenye magoti. Ila wazo la kwanza Liliboreshwa mwaka 2014 na Kampuni moja inayoitwa ZOO JEANS iliyopo HITACHI- JAPAN.

ZOO JEANS, ni moja ya Jeans zinazotengenezwa kwa njia Hatari Sana ambapo baada ya kutengenezwa Kiwandani Nguo (jeans) ilikua ikiwekwa ujilani na Simba, ili simba waigombanie waichanechane na  baadae ikiwa tayari na inatolewa kwaajili ya marekebisho kidogo na kuingizwa sokoni baada ya kutoka Kiwandani.

Leave A Reply