The House of Favourite Newspapers

Simba Yakubali Kipigo Cha Goli 1-0 Kutoka Kwa Al Ahly

0

MABINGWA watetezi, Simba SC wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Simba SC katika mchezo wa kwanza wa Robó Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.Bao pekee la Al Ahly katika mchezo huo limefungwa na kiungo mwenye umri wa miaka 22 tu, Ahmed Koka dakika ya nne tu na timu hizo zitarudiana Aprili 6 Uwanja wa Cairo International Jijini Cairo, Misri.Hii inakuwa mara ya kwanza kwa Simba kupoteza mchezo dhidi ya Al Ahly kwenye Uwanja wa Nyumbani, ambapo katika mchezo huu goli pekee limewekwa wavuni na Ahmed Nabil Koka katika dakika ya 4

Timu hizo zitarudiana Aprili 5, 2024 kwenye Uwanja wa Cairo Nchini Misri. Katika rekodi za jumla Al Ahly inakuwa imeshinda mechi 4, Simba ikishinda mara 3.

Leave A Reply