The House of Favourite Newspapers

Simba Wapo Sumbawanga, Shuhudia Wakipiga Tizi La Nguvu

0

Wachezaji wa timu ya Simba wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga, timu hiyo ipo Sumbawanga katika ziara maalum.

Jumamosi ya wiki hii watashuka uwanjani hapo kupambana na wenyeji wao, Rukwa FC, ukiwa ni mchezo wao wa pili wa kirafiki katika siku za hivi karibuni, ikumbukwe kuwa Jumanne ya wiki hii walicheza dhidi ya Nyundo FC ya Katavi, mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya bila kufungana.

(PICHA: MUSA MATEJA/GPL – SUMBAWANGA)

Leave A Reply