The House of Favourite Newspapers

Simu za Huawei Zaongoza kwa Kununuliwa kuliko Iphone – WASHINGTON BUREAU – VIDEO

Shirika la teknolojia ambalo linaoongoza duniani linaeleza kwamba kampuni ya Huawei ya China imefanya mauzo makubwa ya simu zake kushinda hata simu maarufu za Apple na Samsung kwa mwaka 2018.

Lakini wakatri huo huo kampuni hii ya Huawei inakumbana na madhila makubwa ambapo Mkuu wa fedha wa shirika hilo hvi sasa amekamatwa huko nchini Canada kutokana na shutma za wizi wa teknolojia na Marekani wanataka Mkuu huyo aletwe nchi kwao kwa ajili ya mashtaka.

Comments are closed.