The House of Favourite Newspapers

“Sisi Ndio Tunapaswa Kulaumiwa” – Naibu Waziri Silinde

0

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) David Ernest Silinde, amefurahishwa na fedha zilizotolewa na Rais Samia Suluhu kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati ya Makumbusho ambapo amesema ujenzi huo umeenda sambamba na bajeti iliyotengwa na kuwaomba wananchi kufika katika zahanati hiyo kwa ajili ya kupata matibabu na kwamba serikali itaendelea kutoa huduma mbalimbali kwa wananchi wake.

Leave A Reply